Filamu hii nairudisha tena hapa kwa mara ya pili baada ya kuondolewa kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Ni kisa kinachomuhusu kijana mhangaikaji wa kijijini aliyeokota chupa bila kujua madhara yaliyomo kwenye chupa hiyo. Makubwa yakamkuta.